Tanzania yakanusha ripoti ya Umoja wa mataifa kuwa inakiuka vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini
Tanzania imesisititiza kuwa haina uhusiano wowote wa kibiashara na Korea Kaskazini unaokwenda kinyume na maazimio ya baraza la usalama la umoja wa mataifa, kama ilivyoelezwa kwenye ripoti Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, iliyodai kuwa Tanzania inaendelea kununua silaha kutoka kwa Korea Kaskazini licha ya vikwazo na jumuiya ya kimataifa.
Post a Comment